Picha ya Irene Uwoya akiwa kwenye gari hiyo ya Hummer
EATV & EA Radio Digital imepiga story na muuza magari Kessy Magari, amefunguka zaidi toleo la gari hilo, thamani yake pamoja na matumizi yake.
Zaidi mtazame hapa akilizungumzia gari hilo.
Ni headlines zingine za staa wa filamu Bongo Irene Uwoya ambaye amezua gumzo baada ya kuonekana kwenye gari aina ya Hummer huku plate number ameandika jina lake 'Irene Uwoya'.