Picha ya Shilole
"Sikia sauti ya Komando Shishi, anakukumbusha kwamba tuendelee kuwa na heshima kwa wanaume, tuwe wanyenyekevu na kutimiza wajibu wetu wa umama, udada au kuwa wake zao lakini hilo halina maana kwamba sisi ni wanyonge".
"Komando Shishi anakuamsha mwanamke, kamata silaha zako nenda vitani, katafute riziki yako, lazima watuheshimu kama sisi tunavyowaheshimu. Tujijenge tusiwe wanyonge, tengeneza kipato chako hata kama ni kidogo".
#MwanamkeKinara #NguvuZaidi






