Tuesday , 8th Mar , 2022

The Best RnB singer Ben Pol ameiambia EATV & EA Radio Digital kwamba anapenda kuwa na mhimili wa familia, pia anatamani na anaamini ataingia tena kwenye ndoa baada ya kuachana na aliyekuwa mke wake Anerlisa kutoka Kenya.

Picha ya msanii Ben Pol

Ben Pol maisha hayawezi kwenda kama muhuni au uishi na marafiki kila lazima mtu awe na familia.

Interview nzima bonyeza hapa kutazama.