Wednesday , 9th Mar , 2022

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Taifa  Freeman Mbowe, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Sendiga mazungumzo yaliyolenga siasa za amani ndani ya mkoa na Taifa.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Taifa Freeman Mbowe (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Sendiga (kushoto).

Viongozi hao wamekutana leo Machi 9, 2022 na kuweka wazi mambo mbalimbali waliyokubaliana ili kutekeleza mazungumzo aliyofanya Mbowe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Tazama Video hapo chini