Picha ya Tunda na Whozu
Tunda amemuandikia ujumbe huu Whozu kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake,
"Happy Birthday baba Lola, Mwenyenzi Mungu akaendelee kukubariki na kukupa umri mrefu zaidi, binafsi nakupenda sana na unajua una nafasi yako special kwenye moyo wangu. Nakupenda bigt ime baby daddy".
Kwa sasa Whozu na Tunda wana mtoto mmoja wa kike anayeitwa 'Lola'.






