Thursday , 28th Apr , 2022

Shirika la afya ulimwenguni wameanza kutoa chanjo ya Ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki.

Karibu dozi 200 za chanjo zimepelekwa katika maeneo mbalimbali  ikiwemo mashariki mwa Goma 
Ripoti za shirika hilo zinaeleza kuwa watu wawili wamefariki hadi sasa nchini humo.

Kifo cha kwanza kilitokea April 21 na cha pili Jumanne ikiwa ni mlipuko wa 14 wa Ebola katika nchi hiyo