
Kyle Gordy
Kijana huyo amesema kwa sasa anatafuta mwanamke kwani yeye yupo tayari kuanzisha familia na kutulia, na mwanamke atakayempata inabidi amkubali jinsi alivyo.
Kyle Gordy, amesema kwamba amekuwa akitoa michango ya mbegu za kiume tangu akiwa na umri wa miaka 22, na kwa sasa anafanya kampeni yake kupitia mitandao ya kijamii.