Waziri wa Ulinzi wa Kenya Fred Mnatiang'i
Kwa wiki moja sasa mashambulizi kutoka kwa magaidi yameshuhudiwa katika eneo hilo, hali iliyopelekea Waziri wa Ulinzi wa Kenya Fred Mnatiang'i, kutangaza marufuku hiyo katika juhudu za kuhakikisha vyombo vya usalama vinapata nafasi ya kuendeleza oparesheni katika eneo hilo.
Oparesheni inayoendelea katika eneo hilo ni ya kuwanyang'anya silaha wamiliki wa silaha haramu, na kusisitiza kwamba magenge ya majambazi wanaoshambulia wanakijiji hiutorokea eneo la Suoso. mpakani mwa Kenya na Ethopia.