
Msemaji mpya wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre
Jean-Pierre atachukua nafasi ya Jen Psaki, ambaye alihudumu kama msemaji, kuanzia Mei 13.
Jean-Pierre mwenye umri wa miaka 44, aliwahi kufanya kazi kwenye kampeni za rais mstaafu Barack Obama mnamo mwaka 2008 na 2012 na pia kwenye kampeni ya Joe Biden mwaka 2020 kabla ya kujiunga na timu ya rais huyo