Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, akiwa mahakamani
Hukumu ya rufaa hiyo inatarajiwa kutolewa hii leo Mei 6, 2022, dhidi Sabaya na wenzake Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, baada ya hukumu iliyotolewa mwaka jana katika mahakama hiyo kuwakuta na makosa matatu ikiwemo la unyang'anyi wa kutumia silaha.