Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tsonga atangaza kustaafu Tennis

Wednesday , 25th May , 2022

Nyota wa mchezo wa tennis Mfaransa Jo-Wilfried Tsonga ametangaza kustaafu mchezo huo baada ya kuondoshwa na Mnorway Casper Ruud kwa seti 6-7 (6-8) 7-6 (7-4) 6-2 7-6 na (7-0) kwenye michuano ya wazi ya Ufaransa (Frenc open 2022).

Nyota Jo-Wilfried Tsonga akiwaaga mashabiki wake

Tsonga mwenye umri wa miaka 37,amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya mguu tangu mwaka 2020,Amehitimisha miaka 18 ya kucheza mchezo wa tennis akishinda kwenye michezo 467 huku akijivunia kushika nafasi ya 5 kwa viwango vya ubora duniani kwa mchezo wa tennis.

"leo ni siku kubwa kwangu ,siku ya kusema kwaherini na kuwashukuru watu wote mliokuwa nami kwenye safari yangu ya mchezo wa tennis na najiona mtu mwenye bahati kupata nafasi ya kuwa mmoja wa kizazi bora cha mchezo wa tennis kutoka nchini Ufaransa “ amesema Tsonga.

Nyota huyo ameshinda mataji 18 sambamba na kufika fainali mbili za Wimbledon na hatua mbili za nusu fainali ya michuano ya wazi ya Ufaransa pamoja na kutwaa taji la Davis Cup mwaka 2017.

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu