
Mgombea wa nafasi ya Urais nchini Kenya kea tiketi ya Chama cha Roots George Wajackoyah
Mwanasiasa huyo kutoka chama cha Roots amekuwa maarifu nchini humo kutokana na sera yake ya kutaka matumizi ya bangi yahalalishwe
Mapema wiki hii, usajili wake wa kugombea urais ulikataliwa na tume ya uchaguzi IEBC kwa kukosa sahihi za kutosha, ambapo alihitajika kuwa na sahihi elfu mbili ambapo amewasilisha tena sahihi hizo na kuruhusiwa kugombea