Picha ya Steve Nyerere kushoto, kulia ni Billnass na Nandy
"Kamati ya harusi kwa kushirikiana na Bwana na Bibi Harusi tumemteua rasmi Steve Mengele ( Nyerere) kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya harusi yetu" ameandika Billnass
Wawili hao walichumbiana mwaka 2020 kisha wakarudia tena kuvalishana pete kwa mara ya pili siku ya Februari 20 mwaka huu 2022.