Picha ya msanii Linex
Mazungumzo zaidi na Linex kuhusu kuokoka itazame hapo chini kwenye video.
Msanii Linex Sunday Mjeda amenyoosha maelezo kuhusu kuokoka baada ya kuachia EP yake ya Side B yenye mahadhi ya mziki wa Injili kwa kusema anamtukuza mungu na hawezi kuweka wazi kama ameokoka au hajaokoka.
Picha ya msanii Linex
Mazungumzo zaidi na Linex kuhusu kuokoka itazame hapo chini kwenye video.