
Waziri wa maji Jumaa Aweso
Waziri aweso ametoa onyo hilo baada ya kutembelea chanzo cha maji cha hayuya kilichopo kijiji cha Mwakenjwe Mkoani Mbeya ambapo amesema ni jambo lakushangaza kuona Mkurugenzi wa bonde anashindwa kujua hata mipaka ya eneo lake ili kuiainisha vyanzo vya maji na kuvihifadhi
Mhandisi Mbogo Futakamba ni mwenyekiti wa bodi za maji taifa ambapo amewataka wananchi kuendeea kulinda na kutunza vyanzo vya maji kutokana na umuhimu wake.