Sekela Lass (kushoto) na Mpoki Johnson wakikabidhi mchango wao katika ofisi za East Africa TV na East Africa Radio. Wameshawishika kuchangia taulo za kike pakiti 32 baada ya kuona tangazo kwenye TV