Picha ya Harmonize, Killy na Cheed
Taarifa hiyo imetolewa kwenye ukurasa wa Instagram wa Kondegang ambao unaeleza kuwa wamefikia makubaliano ya pande zote mbili za kusistisha mikataba yao kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Lebo ya Kondegang chini ya Harmonize imetoa taarifa rasmi ya kuachana na wasanii wake Official Killy na Official Cheed ambao walijiunga mwaka 2020 kutokea Kings Music Records ya Alikiba.