
Picha ya DJ Khaled na Burnaboy studio
Taarifa za wawili hao kukutana studio zimetoka kwa DJ Khaled mwenyewe baada ya kushea video na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Burnaboy studio wakirekodi.
Burnaboy anakuwa msanii mwingine kufanya kazi na wasanii wa Marekani kama alivyofanya Wizkid, Davido na P Square.