Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule
Kauli hiyo ameitoa hii leo Oktoba 30, 2022 na kusema kuanzia majira ya saa 3:00 usiku wa leo kutakuwa na mkesha jijini humo.
"Leo kuanzia saa 3 hadi saa 6:00 usiku, tutakuwa na mkesha kuelekea uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022, pamoja na mwongozo wa Kitaifa wa matumizi ya matokea ya Sensa, na mafataki yatakuwepo kuashiria utayari wa wananchi Katika jambo hili muhimu," amesema RC Senyamule