
Aidha Rais huyo amesema kuwa Ukraine ipo tayari kwa amani lakini iwe amani ya nchi yake yote
Jumamosi, umati wa watu ulisherehekea ukombozi wa mji wa Kherson baada ya vikosi vya Ukraine kuingia katika mji mkuu wa mkoa na wanajeshi wa Urusi kurudi mashariki.