Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Makambo nje wiki sita

Monday , 21st Nov , 2022

Mshambuliaji wa klabu ya Heritier Makambo atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita baada ya kugundulika amevunjika mfupa mdogo wa kifundo cha mguu.

Maneno hayo yamesemwa na Daktari wa Yanga, Moses Etutu kuwa vipimo vimeonyesha Makambo amepata jeraha hilo na itamchukua wiki sita kuwa nje ya uwanja akijiuguza.

“Alikuwa akilalamika sana kuwa anasikia maumivu makali akicheza, ikatulazimu kumfanyia vipimo na ikagundulika kuwa amevunjika mfupa mdogo kwenye kifundo chake cha mguu.

“Baada ya kugundua hilo tumemuanzishia ratiba ya matibabu ambayo inaweza kumchukua hadi wiki sita kuwa nje ya uwanja akiuguza jeraha lake,” amesema  Dokta Etutu.

kikosi cha Yanga kinatarajiwa kushuka dimbani  kesho Jumanne Novemba 22 mchezo  kucheza dhidi ya Dodoma Jiji na mchezo huo utakaochezwa saa 10:00 jioni katika uwanja wa Liti, Singida.

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu