Licha ya nchi nyingi za Magharibi kukata uhusiano na Urusi juu ya uvamizi wa Ukraine, nchini Afrika Kusini msimamo unabaki kuwa katikati.
Licha ya shinikizo kadhaa la kulaani uvamizi wa Urusi, Afrika Kusini imeendelea kutoegemea upande wowote kwa kukatishwa tamaa na Ukraine


