Saturday , 18th Feb , 2023

Diana Bundala maafufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba

Hivi karibuni mahakama iliamuru atumikie kifungo cha mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi kumi na moja

Asubuhi ya leo Februari 18 askari Magereza walimrudisha nyumbani kwake akiwa mzima wa afya na baadae wafuasi wake kukusanyika na kutaka kusikia neno lake