Monday , 20th Nov , 2023

Kila ifikapo tarehe 20/11 kila mwaka huwa ni maadhimisho ya siku ya mtoto Duniani (kwa mujibu wa UN) 

 

Siku hii iliundwa rasmi mwaka 1954, kwa lengo la kutengeneza umoja kukuza uelewa na ustawi wa mtoto katika jamii kiujumla.

Kwenye jamii kila mmoja wetu anajukumu la kukuza na kuendeleza ustawi wa watoto, bila kujali dini, kabila, cheo wala umri.

Kwenye kuadhimisha siku hii tumeona siyo vibaya tukaifanya kwa namna ya tofauti kwa kukuuliza mdau wetu, 

''Ni kitu gani ulikuwa unakiogopa sana ulivyokuwa mtoto?'' tuandikie hapo chini kwenye comment
 

Picha: pennlive.com