Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Lupita afichua sababu ya kuvunja mahusiano yake

Wednesday , 28th Feb , 2024

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong'o amefunguka sababu zilizopeleka kuvunja uhusiano na mpenzi wake wa muda mrefu, Muigizaji na Mtangazaji wa runinga Selema Masekela.

Mnamo Oktoba 2023 Lupita kupitia mtandao wake wa Instagram, alifichua kuwa yeye na aliyekuwa mpenzi wake tangu mwaka 2016, Selema Masekela wameachana.
Akifanyiwa mahojiano na Jarida la NET-A-PORTER, Lupita amefunguka sababu kubwa iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano hayo ni manyanyaso na kuumizwa kila mara katika penzi hilo.

"Nilikuwa nikiishi kwa huzuni na uchungu, niliangalia nguvu ya mitandao yangu ya kijamii nikagundua sina haja ya kujifanya mambo yapo sawa ndani wakati kiuhalisia sio kweli, sikutaka kuwa muongo" – Lupita.

HABARI ZAIDI

Picha ya Ayra Starr na Rihanna

Ayra Starr apandwa na wazimu kukutana na Rihanna

Picha ya Chris Brown na Michael Jackson

Chris Brown akataa kufananishwa na Michael Jackson

Picha ya Kris Jenner na mpenzi wake

Mama Kim Kardashian ampita mpenzi wake miaka 25

Bajaji iliyotumika kubeba dawa za kulevya

Mtuhumiwa wa dawa za kulevya na mauaji mbaroni

Profesa Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

Mkakati mpya wa kuajiri walimu watangazwa Tanzania

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaabani, akiagana na Waziri wa Kodi wa Denmark, Mhe. Jeppe Bruus, baada ya kikao kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Tanzania & Dernmark zitaboresha ya mifumo ya kodi