Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Yanga yaondoa kiingilio kumvaa Mamelodi Sundowns

Thursday , 21st Mar , 2024

Uongozi wa klabu ya Yanga SC umetoa taarifa kuhusu maendeleo ya kikosi chao kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaochezwa Machi 30 ,2024 majira ya saa tatu usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Akizungumza na Waandishi wa Habari ndani ya Makao Makuu ya Yanga mitaa ya Jangwani, Afisa habari wa Yanga SC Ally Kamwe amesema taarifa njema kwa sasa ni kurejea mazoezini kwa nyota Kibwana Shomari pamoja na Khalid Aucho huku bado Pacome Zouzoa,Yao Koussi Attouhola na Zawadi Mauya wapo chini ya uangilizi wa daktari mpaka sasa.

Aidha Ally Kamwe amesema Uongozi wa Yanga umeondoa kiingilio kwenye Jukwaa la Mzinguko kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns ili kutoa nafasi kwa mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo.

“Viongozi wa Klabu yetu hawana tamaa ya fedha, ndio maana tumepunguza a kuondoa tiketi ya mzunguko kwa lengo la kuhakikisha wengi waje Uwanjani. Tumeweka maslahi ya mpira wa Tanzania mbele. Mechi ya Mamelodi ni kubwa mno lakini kwa kuwa lengo sio fedha ni hamasa”amesema Kamwe

Kikosi cha Mamelodi Sundowns  kinatarajiwa kuwasili nchini mnamo Machi 28-2024 kwa ajili ya mchezo  wa mkondo wa kwanza wa robo fainali Ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Yanga SC utaopigwa majira ya Saa 3 Usiku kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

HABARI ZAIDI

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi