Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Marwa amkata mapanga mke wake na mtoto wa miaka 10

Thursday , 18th Apr , 2024

Mwanamke anayefahamika kwa jina Rhobi Mwita Nkori mkazi wa Serengeti mkoani Mara amenusurika kuuawa kwa kukatwa mapanga na mume wake ambaye alidaiwa kurudi nyumbani akiwa amelewa na kuanza kufanya vurugu.

Suzana Mkami Marwa, msamaria mwema aliyempokea Rhobi Mwita Nkori

EATV  imezungumza na Rhobi Mwita Nkori ambaye, mwathirika wa tukio hilo ambaye amesema kuwa mume wake anayefahamika kama Wansato Marwa alirudi nyumbani akiwa amelewa na kuchukua panga na kuanza kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake na alivyofanikiwa kumtoroka ndipo akamta panga mwanae wa kike mwenye umri wa miaka 10 katika sehemu ya kichwa.

Naye, msamaria mwema aliyempokea mwanamke huyo baada ya kufika wilayani Tarime,  Suzana Mkami Marwa ameleza kuwa mwanamke huyo alifika nyumbani kwake akiwa na watoto 6 mmoja akiwa amekatwa mapanga pamoja na mama yake huku akiiomba  serikali kumchukulia hatua kali za kisheria aliyehusika na tukio hilo.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90