Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba
Serukamba amesema huenda bei hizo zenye ukakasi kwenye vifaa vya ujenzi zimechangia baadhi ya miradi kutokukamilika kwa wakati.
Tazama video hapa chini
Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba ameshangazwa na kitendo cha Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kununua mfuko mmoja wa saruji kwa shilingi elfu 36 badala ya bei ya kawaida ya elfu 18 hali iliyoleta sintofahamu ya gharama halisi za utekelezaji wa miradi.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba
Serukamba amesema huenda bei hizo zenye ukakasi kwenye vifaa vya ujenzi zimechangia baadhi ya miradi kutokukamilika kwa wakati.
Tazama video hapa chini