
Timu ya wanawake ya Chelsea
Muingereza Aggie Beever-Jones alifunga bao la ushindi dakika za lala salama, akipiga mpira uliompita kipa Rachael Laws na kuumaliza msimu wa 2024-2025 kwa historia.
The Blues wameshinda michezo 19 na kutoka sare tatu katika mechi 22 katika msimu wa kwanza wa kocha wao Mfaransa Sonia Bompastor's .
Chelsea walitangaza ubingwa wao wa WSL Aprili 30 wakiwa wamesalia na michezo miwili na bado wanawinda Treble katika fainali ya kombe la FA itakayofika Mei 18