
Andy Murray na Novak Djokovic
Djokovic bingwa mara 24 wa Grand Slam alijiunga na Murray Novemba 2024 ambapo chini ya Murray Mserbia huyo alifika nusu fainali ya Australian Open
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 amekuwa na msimu mgumu akipoteza mechi yake ya kwanza katika michuano minne kati ya mitano iliyopita na pia kuchapwa kwenye fainali ya Miami Open na Jakub Mensik mwenye umri wa miaka 19.