
Picha ya Mjapan akiwa amebeba Mbwa
Moja sababu zilizotajwa watoto kuwa wachache kuliko mbwa na paka ni kupanda kwa gharama za maisha, siku nyingi za kazi, majukumu magumu ya kijinsia, wanandoa kuchelewa au kuaacha uzazi kabisa.
Pia matumizi yao yamelekezwa kwa wanyama hao ambao wana urafiki na binaadam kama kuwalisha vizuri, kuwatunza, kuwahudumia kiafya, kuwalinda na kuwatembeza sehemu za kufurahi.