Hakuna jamii inayoweza kusonga mbele bila kumwezesha mtoto wa kike. Kumpatia elimu na huduma salama za hedhi ni kumpa heshima, afya na kujiamini ili aweze kusoma na kutimiza ndoto zake bila vikwazo.”Mkurugenzi TASACI