Vini Jr na Jose Mourinho
“Wanahitaji kuweka mashati yao midomoni mwao ili kuonyesha jinsi walivyo dhaifu, Hakuna kitu kilichotokea hapa leo ambacho kilikuwa kipya katika maisha yangu na ya familia yangu."
"Nilipokea kadi ya njano kwa kusherehekea bao, Bado sielewi ni kwa nini, Sipendi kuonekana katika hali kama hii, zaidi ya hapo baada ya ushindi mkubwa ni wakati vichwa vya habari vinapaswa kuandikwa kuhusu kuhusu Real Madrid"
Prestianni alikanusha akisema “Nataka kufafanua kwamba hakuna wakati wowote nilipomtusi Vini Jr kwa ubaguzi wa rangi, ambaye kwa masikitiko hakuelewa alichofikiri alisikia."
"Sikuwahi kuwa mbaguzi wa rangi na mtu yeyote na najutia vitisho nilivyopokea kutoka kwa wachezaji wa Real Madrid."





