Thursday , 19th Feb , 2026

Rais Donald Trump anasema anampenda sana rapa Nicki Minaj sababu ni mrembo ana ngozi nzuri na kucha ndefu sana.

Picha ya Rais Donald Trump na msanii Nicki Minaj

Rais Trump amesema hilo akiwa Ikulu 'White House' wakati anamzungumzia Nicki Minaj 

"Nampenda Nicki Minaj, alikuwepo hapa wiki chache zilizopita nikasema Nicki wewe ni mzuri sana, kucha zake ni ndefu nikamuuliza ni za ukweli hakutaka kuongelea hilo na ana ngozi nzuri" anasema Rais Donald Trump