Picha ya Maxi Rioba
Tatizo hilo hutengeneza uvimbe kwenye koo ndani ya njia ya chakula karibu na chembe ya moyo,kupelekea shida kumeza chakula, maumivu, kupungua sana mwili na kuteseka hasa wakati wa kula.
Gharama hizo ni za matibabu yake na nauli ya watu wawili kwenda na kurudi hivyo anahitaji msaada huo ili kuokoa maisha yake.
Zaidi tembelea page yake ya Instagram Max Rioba kuona utaratibu wa kuweza kumchangia msaada huo.




