Akiwa katika mkutano huo Akon alifunguka kuwa hiyo ni tofauti sana na Wasanii wa Afrika kwasababu asilimia kubwa ya wasanii hawa kutoka Afrika wanamiliki vitu hivyo na sio vya kukodi kama ambavyo wasanii wa Marekani wanafanya.
Akon alieleza hayo alipokuwa akizungumza kwa ujumla kuhusu Mataifa makubwa Duniani yanavyotumia nguvu kubwa kuaminisha kuwa Afrika ni Bara Maskini sana huku akisema kuwa hiyo ni kinyume na ukweli wa mambo ulivyo




