Timu zilizofuzu michuano ya ulaya msimu huu
ARSENAL, wataiwakilisha England kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) wakitarajiwa kuchuana na Paris Saint Germain kwenye fainali itakayopigwa Mei 30, 2026 katika dimba la Puskás Aréna, Budapest, Hungary.
ASTON VILLA, ni wawakilishi wa England kwenye Ligi ya Europa (UEL) ikitarajiwa kuchuana na Freiburg ya Ujerumani kwenye fainali ya michuano hiyo itakayopigwa Mei 20, 2026 katika dimba la Besiktas Park, Istanbul, Uturuki.
CRYSTAL PALACE, Kwenye UEFA Conference League, England itawakilishwa na ambayo ina kibarua dhidi ya Rayo Vallecano ya Uhispania kwenye fainali ya michuano hiyo itakayopigwa Mei 27, 2026 katika dimba la Red Bull Arena Mjini Leipzig, Ujeruman








