Thursday , 18th Jun , 2026

Don Dingoo Whozu ameanza kushea nasi Experience aliyokutana nayo wakati mama mtoto wake Wema Sepetu alipokuwa mjamzito.

Picha ya Wema Sepetu na Whozu

"Sema kipindi cha Ujauzito Mama Olliealipenda sana kucheza kama MICHAEL JACKSON, kila siku naambiwa nicheze thriller nisipocheza mnuno. Nilikuwa nakoma na kale ka-style ka Mbwa wa Tiktok cheza yake mguu mmoja".

"Ipo siku ntaadithia safariii Nzima mpaka kufika hapa leo, kikubwa Mungu Ni Mwema sana" ameandika Whozu