
M-Rap amesema kuwa, wimbo huu ambao una siku kadhaa tu tangu kuachiwa kwake, anaamini kuwa utamfikia mhusika japo haimaanishi kuwa anataka warudiane.
Kuhusiana na ishu hii, M Rap katika maelezo yake kwa eNewz hivi ndivyo anavyofunguka.
00:00
00:00
00:00