Walikutana 1956 wamefunga ndoa 2022

Alex na Jane wakiwa na watoto wao watano

Alex mwenye umri wa miaka 91 na Jane Hamilton mwenye miaka 89 kutokea nchini Uingereza wamefunga ndoa baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa miaka 60 na kufanikiwa kupata watoto watano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS