''Mpira wa Tanzania ni Simba na Yanga''Tambwe
Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Amisi Tambwe amesema wakati mwingine maoni yanayotolewa na wadau wa mpira nchini kuhusu maendeleo ya mchezo wenyewe huwa yana athiriwa na msukumo wa upande wa mtu anaoushabikia au anaoutumikia katika wakati husika.