Mbunge wa Kenya atekwa, akutwa kwenye shamba

Mbunge wa Juja nchini  Kenya George Koimburi, alivyokutwa shambani

Mbunge wa Juja nchini  Kenya George Koimburi, amekutwa ametupwa akiwa hai katikati ya shamba la kahawa katika kaunti ya Kiambu nchini humo, baada ya jana Jumapili Mei 25, 2025, kukamatwa na watu wasiojulikana nje ya kanisa katika eneo la Mugutha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS