Azama baharini akijaribu pozi la Titanic Mine Dinar (kushoto) na Furkan Ciftci Katika mji wa Izmit, Uturuki mwanaume aliyetambulika kwa jina la Furkan Ciftci alifariki baada ya kuzama baharini akijabu pozi la kwenye filamu ya Titanic kwenye meli akiwa na mpenzi wake Mine Dinar. Read more about Azama baharini akijaribu pozi la Titanic