Marekani kupeleka wanajeshi Somalia
Rais Joe Biden ameripotiwa kuamuru kurejeshwa kwa mamia ya majeshi ya Marekani nchini Somalia.
Rais aliyepita Donald Trump aliyaondoa majeshi ya nchi hiyo yapatayo 700 ambayo yalikua yakilinda amani nchini humo.