Job ''Hatupo tayari kuona Yanga inafungwa'' Beki wa Yanga Dickson Job Beki wa klabu ya Yanga Dickson Job amesema hayupo tayari kuona timu yake inapoteza kwasasa kwa sababu lengo lao ni kumaliza Ligi bila kufungwa. Read more about Job ''Hatupo tayari kuona Yanga inafungwa''