Wanaopanga kuvuruga amani waonywa
Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia wananchi kuwa, lipo imara na litahakikisha linadhibiti vitendo vya kihalifu kwa mujibu wa sheria na halitakuwa na muhali na mtu ama kikundi chochote kitakachopanga au kutakakujaribu kuvuruga amani ya nchi.