Sheria 212 zatafsiriwa kwa Kiswahili

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Sheria 212 kati ya sheria 466 zilizopo hapa nchini, zimetafsiriwa kutoka kwenye lugha ya kiingereza kwenda kwenye lugha ya kiswahili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS