Lukaku kupunguza mshahara kurejea Inter Milan Mshambulijai wa Chelsea, Romelu Lukaku atalazimika kupunguza mshahara wake kwa nusu nzima ili kukamilisha ndoto zake za kurejea kukipiga tena katika timu ya Inter Milan Nchini, Italia. Read more about Lukaku kupunguza mshahara kurejea Inter Milan