Mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu - Dkt Fimbo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Dkt. Adam Fimbo

Mkurugenzi Mkuu wa TMDA Dkt. Adam Fimbo, amesema kwamba watumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume wapo kwenye hatari zaidi ya kupoteza maisha kwa sababu dawa hizo hupanua mishipa ya damu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS