"Panya road tuliowakamata ni darasa la 5" - Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema hadi sasa linawashikilia vijana sita (6), ambao ni Panya road, waliohusika na uvamizi maeneo ya Kunduchi Mtongani kwa ajili ya mahojiano ili waeleze wenzao wako wapi, kwanini wanafanya matukio hayo na wakipora vitu wanapeleka wapi.